• HABARI MPYA

    Showing posts with label LIGI YA MABINGWA AFRIKA. Show all posts
    Showing posts with label LIGI YA MABINGWA AFRIKA. Show all posts
    Monday, May 25, 2026
    NI MAMELODI SUNDOWNS MABINGWA WA AFRIKA

    NI MAMELODI SUNDOWNS MABINGWA WA AFRIKA

    TIMU ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika licha ya sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji,...
    Sunday, March 22, 2026
    ESPERANCE WAITUPA NJE AL AHLY LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    ESPERANCE WAITUPA NJE AL AHLY LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    TIMU ya Espérance ya Tunisia imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya wenyeji, Al A...
    PYRAMIDS YAVULIWA UBINGWA WA AFRIKA

    PYRAMIDS YAVULIWA UBINGWA WA AFRIKA

    TIMU ya Pyramids FC imevuliwa ubingwa wa Afrika baada ya kuchapwa mabao 2-1 na AS FAR Rabat ya Morocco katika mchezo wa marudiano wa Robo Fa...
    Sunday, February 15, 2026
    YANGA SC YAWACHAPA WAARABU 3-0, LAKINI NDIYO HIVYO!

    YANGA SC YAWACHAPA WAARABU 3-0, LAKINI NDIYO HIVYO!

    NDOTO za Yanga SC kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimeyeyuka leo licha ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JS Kabylie katika mch...
    Saturday, February 14, 2026
    SIMBA SC YAMALIZA KWA HESHIMA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA

    SIMBA SC YAMALIZA KWA HESHIMA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA

    TIMU ya Simba SC imehitimisha mechi zake za Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi Wa 1-0 dhidi ya  Stade Malien ya Mali usiku huu Uwan...
    Wednesday, February 11, 2026
    TREZEGUET AONGOZA MBIO ZA UFUNGAJI BORA LIGI YA MABINGWA

    TREZEGUET AONGOZA MBIO ZA UFUNGAJI BORA LIGI YA MABINGWA

    MBIO za kuwania Kiatu cha Dhahabu katika Ligi ya Mabingwa ya Afrika zimeanza kuchukua sura nzuri baada ya kumalizika kwa mechi za tano, huku...
    Sunday, February 08, 2026
    YANGA SC YACHAPWA 1-0 NA AS FAR RABAT NCHINI MOROCCO

    YANGA SC YACHAPWA 1-0 NA AS FAR RABAT NCHINI MOROCCO

    MATUMAINI ya Yanga SC kwenda Robo Fainali yameingia doa baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji, AS FAR Rabat katika mchezo wao wa Kundi B Ligi...
    Saturday, February 07, 2026
    SIMBA SC YATOA SARE UGENINI LIGI YA MABINGWA AFRIKA, 1-1 NA PETRO ANGOLA

    SIMBA SC YATOA SARE UGENINI LIGI YA MABINGWA AFRIKA, 1-1 NA PETRO ANGOLA

    TIMU ya Simba SC imetoa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Petro de Luanda katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa usiku huu Uwanja wa ...
    Monday, February 02, 2026
    SIMBA SC YAOMBA JESHI LA POLISI LIWAKAMATE WALIOMFANYIA FUJO MANGUNGU

    SIMBA SC YAOMBA JESHI LA POLISI LIWAKAMATE WALIOMFANYIA FUJO MANGUNGU

    BODI ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba SC imeliomba Jeshi la Polisi Tanzania kuwachukulia hatua mashabiki waliomvamia Mwenyekiti wa klabu, Mu...
    Sunday, February 01, 2026
    SIMBA SC YAAMBULIA SARE, 2-2 NA ESPERANCE DAR

    SIMBA SC YAAMBULIA SARE, 2-2 NA ESPERANCE DAR

    WENYEJI, Simba SC wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Esperance ya Tunisia katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ...
    Saturday, January 31, 2026
    YANGA SC YAAMBULIA SARE KWA AL AHLY, ZAFUNGANA 1-1 ZANZIBAR

    YANGA SC YAAMBULIA SARE KWA AL AHLY, ZAFUNGANA 1-1 ZANZIBAR

    TIMU ya Yanga SC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo U...
    Saturday, January 24, 2026
    SIMBA SC YACHAPWA KIMOJA NA ESPERANCE TUNISIA

    SIMBA SC YACHAPWA KIMOJA NA ESPERANCE TUNISIA

    TIMU ya Simba imeendelea kusuasua katika Hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji, Espérance katika ...
    Friday, January 23, 2026
    YANGA SC YATELEZA UGENINI, YACHAPWA 2-0 NA AHLY ALEXANDRIA

    YANGA SC YATELEZA UGENINI, YACHAPWA 2-0 NA AHLY ALEXANDRIA

    TIMU ya Yanga imeteleza ugenini baada ya kuchapwa mabao 2-0 na wenyeji, Al Ahly katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika usiku huu U...
    Thursday, January 22, 2026
    AHOUA AJIUNGA NA CR BELOUIZDAD KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI A NUSU

    AHOUA AJIUNGA NA CR BELOUIZDAD KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI A NUSU

    KLABU ya Chabab Riadhi Belouizdad, maarufu tu kama CR Belouizdad ya Algeria imemsajili kiungo mshambuliaji Muivory Coast, Jean Charles Ahoua...
    Sunday, November 30, 2025
    SIMBA SC YAPOTEZA MECHI YA PILI MFULULIZO MAKUNDI LIGI YA MABINGWA

    SIMBA SC YAPOTEZA MECHI YA PILI MFULULIZO MAKUNDI LIGI YA MABINGWA

    TIMU ya Simba SC imepoteza mechi ya pili mfululizo ya Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kufungwa mabao 2-1 na wenyeji, Stade Malien u...
    Saturday, May 24, 2025
    MAMELODI SUNDOWNS YALAZIMISHWA SARE NA PYRAMIDS FC, 1-1 PRETORIA

    MAMELODI SUNDOWNS YALAZIMISHWA SARE NA PYRAMIDS FC, 1-1 PRETORIA

    WENYEJI, Mamelodi Sundowns wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Pyramids FC ya Misri katika mchezo wa kwanza wa Fainali ya Ligi ya Ma...
    Sunday, April 27, 2025
    AL AHLY YAACHANA NA KOCHA KOLLER BAADA YA KUVULIWA UBINGWA WA AFRIKA

    AL AHLY YAACHANA NA KOCHA KOLLER BAADA YA KUVULIWA UBINGWA WA AFRIKA

    KLABU ya Al Ahly imemfukuza kazi kocha mkuu Marcel Koller siku moja tu baada ya kuondolewa katika michuano ya  Ligi ya Mabingwa Afrika na Ma...
    Friday, April 25, 2025

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top