• HABARI MPYA

  Tuesday, March 03, 2020

  ARSENAL YAIPIGA PORTSMOUTH NA KUSONGA MBELE FA CUP

  Eddie Nketiah akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 51,  kufuati Sokratis Papastathopoulos kufunga la kwanza dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Portsmouth kwenye mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Fratton Park 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAIPIGA PORTSMOUTH NA KUSONGA MBELE FA CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top