• HABARI MPYA

  Wednesday, July 03, 2019

  BRAZIL YAIPIGA 2-0 ARGENTINA NA KUTINGA FAINALI COPA AMERICA

  Gabriel Jesus (katikati) na Roberto Firmino (kushoto) wakishangilia baada ya wote kufunga kwenye ushindi wa 2-0 wa Brazil dhidi ya Argentina kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Copa America Uwanja wa Governador Magalhaes Pinto, Belo Horizonte, Minas Gerais. Jesus alifunga dakika ya 19 na Firmino dakika ya 71 na kila mmoja alimpasia mwenzake kufunga na sasa Brazil itakutana na mshindi kati ya Chile na Peru zinazomenyana usiku wa kuamkia kesho 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BRAZIL YAIPIGA 2-0 ARGENTINA NA KUTINGA FAINALI COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top