• HABARI MPYA

  Sunday, January 22, 2017

  RAMOS AGONGA ZOTE MBILI REAL MADRID YASHINDA 2-1 LA LIGA

  Beki Sergio Ramos (kushoto) akicheza kwa furaha na mchezaji mwenzake, Lucas Vazquez baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 35 na 43 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Malaga ambao bao lao lilifungwa na Juan Pablo Anor Acosta 'Juanpi' dakika ya 63 kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAMOS AGONGA ZOTE MBILI REAL MADRID YASHINDA 2-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top