• HABARI MPYA

  Sunday, January 01, 2017

  PITCHOU KONGO CHINI YA ULINZI WA AMAAN MBAROUK NA MAJUTO KOMU

  Mabeki wa Simba, Amaan Mbarouk (kushoto) na Majuto Komu (kulia) wakimdhibiti mshambuliaji wa St Eloi Lupopo ya Jamhuri ya Kiemokrasia ya Kongo (DRC), Pitchou Kongo katika mchezo wa kirafiki mwaka 2003 Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaa. Kongo na mchezaji mwingine wa Lupopo, Patrick Kataray walisajiliwa Yanga mwaka 2004.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PITCHOU KONGO CHINI YA ULINZI WA AMAAN MBAROUK NA MAJUTO KOMU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top