• HABARI MPYA

  Sunday, January 01, 2017

  GIROUD APIGA BONGE LA BAO, ARSENAL YASHINDA 2-0

  Olivier Giroud akifunga kwa kisigino kuipatia Arsenal bao la kwanza dakika ya 17 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Bao lingine la Gunners limefungwa na Alex Iwobi dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GIROUD APIGA BONGE LA BAO, ARSENAL YASHINDA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top