• HABARI MPYA

    Sunday, January 01, 2017

    DELE ALLI APIGA MAWILI KAMA HARRY KANE SPURS YAUA 4-1

    Dele Alli akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao mawili dakika za 41 na 46 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Watford leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Harry Kane dakika za 27 na 33 wakati la Watford limefungwa na Younes Kaboul dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DELE ALLI APIGA MAWILI KAMA HARRY KANE SPURS YAUA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top