• HABARI MPYA

    Sunday, January 22, 2017

    ASHANTI NA YANGA KATIKA PICHA JANA UHURU

    Winga wa Yanga, Simon Msuva (kushoto) akipiga krosi mbele ya beki wa Ashanti United, Peter Mutambuzi katika mchezo wa Raundi ya Tano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 4-1 
    Mshambuloiaji wa Ynga, Amissi Tambwe akiuvutia kasi mpira mbele ya beki wa Ashanti, Patrick James 
    Beki wa Yanga, Oscar Joshua (kushoto) akiondosha mpira kwenye hatari  
     Kiungo wa Yanga, Said Juma 'Makapu' akimtoka kiungo wa Ashanti, Rajab Mohammed
    Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Ashanti
    Beki wa Yanga, Mwinyi Mngwali (kulia) akipiga kichwa dhidi ya beki wa Ashanti, Patrick Jams
    Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi anayetumika kama mshambuliaji kwa sasa, akiuwahi mpira huku beki wa Ashanti, Patrick James akiwa chini 
    Mshambuliaji wa Yanga, Matheo Anthony akimtoka mshambuliaji wa Ashanti, Abeid Kisiga 
    Kikosi cha Ashanti jana
    Kikosi cha Yanga jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ASHANTI NA YANGA KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top