• HABARI MPYA

    Saturday, November 07, 2015

    MAN UNITED YANG'ARA LIGI KUU ENGLAND, YAWAGONGA WEST BROM 2-0

    Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Martial akimtoka Gareth McAuley wa West Bromwich Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. Man United imeshinda 2-0 mabao yake yakifungwa na Jesse Lingard na Juan Mata PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YANG'ARA LIGI KUU ENGLAND, YAWAGONGA WEST BROM 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top