• HABARI MPYA

    Monday, September 14, 2015

    YANGA NA COASTAL UNION KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Simon Msuva akiwatoka mabeki wa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0 

    Winga wa Yanga SC, Godfrey Mwashiuya akiatoka mabeki wa Coastal

    Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akiwatoka wachezaji wa Coastal 

    Beki wa Yanga SC, Mwinyi Hajji Mngwali akimtoka beki wa Coastal

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma akimtoka Tumba Swedi wa Coastal

    Kikosi cha Yanga SC kilichowafunga Coastal Union 2-0 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA COASTAL UNION KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top