TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Airtel Mwigulu Complex, Singida.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na beki Lusajo Elukaga Mwaikenda dakika ya 49 na kiungo, Feisal Salum Abdallah dakika ya 64, wakati la Singida Black Stars limefungwa na winga, Ayoub Reuben Lyanga aliyeiadhibu timu yake ya zamani dakika ya 70.
Kwa ushindi huo, Azam FC wanafikisha pointi 32 na kurejea nafasi ya pili ikizidiwa pointi sita na mabingwa watetezi, Yanga SC baada ya wote kucheza me hi 16, wakati Singida Black Stars inabaki na pointi zake 25 za me hi 16 pia nafasi ya sita.

.png)
0 comments:
Post a Comment