• HABARI MPYA

    Wednesday, July 16, 2014

    MAISHA BILA SUAREZ YAANZA KWA KIPIGO LIVERPOOL, YALALA 2-1 DENMARK

    KLABU ya Liverpool imeanza ziara yake ya kujiandaa na msimu mpuya kwa kipigo cha mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki nchini Denmark wakiingia rasmi kwenye maisha bila ya mkali wao wa mabao wa msimu uliopita, Luis Suarez aliyehamia Barcelona kwa dau la Pauni Milioni 75.
    Kocha Brendan Rodgers amechezea kichapo kutoka klabu ya Brondby akitumia kikosi cha wachezaji wenye uzoefu mdogo.
    Kikosi cha Liverpool kilichofungwa 2-1 Denmark
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAISHA BILA SUAREZ YAANZA KWA KIPIGO LIVERPOOL, YALALA 2-1 DENMARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top