![]() |
| Kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka mshambuliaji Didier Kavumbangu wakati wa mazoezi ya Azam FC asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. |
![]() |
| Kavumbangu akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Sure Boy |
![]() |
| Sure Boy anatafuta mbinu za kumlamba chenga Kavumbangu |
![]() |
| Sure Boy tayari amemuacha hatua moja Kavumbangu |
![]() |
| Sure Boy anatafuta maarifa ya kufanya, huku Kavumbangu akipiga hesabu za kuupata mpira |
![]() |
| Sure Boy anamgeuza Kavumbangu |
![]() |
| Anampindua tena haraha haraka... |
![]() |
| Analala na kutia krosi moja maridadi... |
![]() |
| Lakini mshambuliaji Leonel Saint-Preux anachelewa na mpira unapita |











.png)
0 comments:
Post a Comment