Pati: Demu wa mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi, aitwaye Antonella Roccuzzo (katikati) akifurahia ushindi wa 1-0 wa timu ya 'mumewe' jana akiwa na jezi mamba 10 ambayo huvaliwa na nyota huyo wa Barcelona. Argentina iliitoa Ubelgiji mjini Brasilia jana.
Nahodha wa Argentina, Messi akiwapa ishara mashabiki baada ya ushindi huo dhidi ya Ubelgiji unaowafanya waende Nusu Fainali ambako sasa watakutana na Uholanzi



.png)
0 comments:
Post a Comment