• HABARI MPYA

    Sunday, July 06, 2014

    ABIDAL ATUA KWA MABINGWA WA UGIRIKI KUMALIZIA SOKA YAKE

    BEKI Eric Abidal amejiunga na na mabingwa wa Ugiriki, Olympiacos siku kadhaa baada ya kusaini mkataba mpya na Monaco.
    Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 34 alisaini Mkataba mpya wa mwaka mmoja na timu hiyo ya Ligue pamoja na beki mwenzake, Ricardo Carvalho Alhamisi.
    Akiwa ameichezea mechi 29 Monaco msimu uliopoita tangu ajiunge nato akitokea Barcelona, Abidal sasa anahamia Ugiriki.
    Kifaa kipya: Eric Abidal amejiunga na mabingwa wa Ugiriki, Olympiakos akitokea Monaco
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ABIDAL ATUA KWA MABINGWA WA UGIRIKI KUMALIZIA SOKA YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top