![]() |
| Mfungaji wa bao pekee la Stars, Haroun Chanongo akimtoka beki wa Somalia, Mohamed Tahlil Shidane |
![]() |
| Nahodha wa Somalia, Hassan Ali Roble akiteleza kuondosha mpira miguuni mwa Amri Kiemba wa Stars |
![]() |
| Hassan Ali Roble akimdhibiti Erasto Nyoni wa Stars |
![]() |
| Mshambuliaji wa Stars, Elias Maguri akiwatoka mabeki wa Somalia |
![]() |
| Mrisho Ngassa akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Somalia |
![]() |
| Beki wa Somalia akibinuka tik tak nyuma ya Elias Maguri wa Stars |
![]() |
| Kiungo wa Stars, Salum Abubakar 'Sure Boy' akipambana na kiungo wa Somalia, Sidi Mohamed Omer |
![]() |
| Haroun Chanongo akimpiga tobo beki wa Somalia, Aden Hussein Ibrahim |
![]() |
| Ramadhani Singano 'Messi' akimtoka beki wa Somalia anayepambana hadi kuanguka chini |
![]() |
| 11 wa Stars walioanza leo |
![]() |
| Wasomali walioitoa jasho Stars |
![]() |
| Benchi la Stars wakati wa wimbo wa Taifa |















.png)
0 comments:
Post a Comment