![]() |
| Kocha mpya wa Azam FC, Mcameroon, Joseph Marius Omog akiongoza mazoezi ya timu hiyo asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. |
![]() |
| Beki Said Mourad akitanua kifua |
![]() |
| Kiungo Salum Abubakar akipooza koo na maji ya Uhai |
![]() |
| Wachezaji wakifanya mazoezi |
![]() |
| Kulia Brian Umony kushoto Muamad Kone |
![]() |
| Sitaki mpira kama Yanga kufungwa tatu, sitaki |
![]() |
| Vijana wanapewa uwezo wa kumiliki mpira |
![]() |
| Wanamiliki mpira |
![]() |
| Mazoezi |
![]() |
| Kocha wa akademi, Vivik Nagul alikuwepo |
![]() |
| Viongozi walikuwepo |














.png)
0 comments:
Post a Comment