Pati la Ushindi; Jake Livermore (wa pili kulia) akishangilia baada ya kuifungia Hull City bao la kwanza dakika ya 20 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Liverpool jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa KC. Mabao mengine yalifungwa na Meyler dakika ya 72 na Skrtel wa Liverpool akajifunga dakika ya 88, wakati bao pekee la Liverpool lilifungwa na Gerrard dakika ya 27. CHINI; Gerrard akishangilia bao lake na picha inayofuatia ni mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez (kushoto) akipiga mpira mbele ya beki wa Hull City.
Ex-MLB GM urges Blue Jays to make $189 million Bo Bichette decision
-
Toronto is urged to hand out a large extension to Bo Bichette this winter.
4 minutes ago





.png)
0 comments:
Post a Comment