• HABARI MPYA

    Sunday, August 11, 2013

    YANGA SC ILIVYOIFANYA KITU MBAYA SC VILLA LEO TAIFA

    IMEWEKWA AGOSTI 11, 2013 SAA 1:46 USIKU
    Watoto wa Mwanza; Mrisho Ngassa kulia akielekea kushangilia na Jerry Tegete kushoto baada ya kuifungia Yanga SC bao la kwanza katika ushindi wa 4-1 kwenye mchezo wa kirafiki leo dhidi ya SC Villa ya Uganda Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

    Athumani Iddi 'Chuji' anakokota ngoma kushoto

    Jerry Tegete anamtoka mtu

    Mrisho Ngassa akipambana

    Mrisho Ngassa kushoto

    Didier Kavumbangu anamtoka mtu

    Haruna Niyonzima anapambana

    David Luhende akitafuta mbinu za kumtoroka mtu 

    Mrisho Ngassa akipambana

    Benchi la Yanga SC leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOIFANYA KITU MBAYA SC VILLA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top