• HABARI MPYA

    Saturday, August 10, 2013

    SIMBA SC ILIVYOONYESHA LEO KWAMBA IKO TAYARI KUBEBA MWALI LIGI KUU BARA MSIMU MPYA

    IMEWEKWA AGOSTI 10, 2013 SAA 3:26 USIKU
    Kiungo wa Simba SC, Amei Kiemba akikokota mpira dhidi ya mchezaji wa SC Villa ya Uganda katika mchezo wa leo wa kirafiki Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 4-1.

    Betram Mombeki kulia

    Kocha Msaidizi, Jamhuri Kihwelo akipongezana na wachezaji wake

    Amri Kiemba vipi hapa

    Betram Mombeki akipambana

    Betram ni mpiganaji

    Issa Rashid 'Baba Ubara' anaosha

    Haruna Chanongo anamtoka mtu

    Ramadhan Chombo 'Redondo' anafanya vitu

    Kutoka kulia, Meneja, Nico Nyagawa, Kocha Msaidizi, Jamhuri Kihwelo, na Kocha Mkuu Alhaj Abdallah Athumani Seif 'King Kibaden'

    Mashabiki

    Simba SC leo

    SC Villa

    Furaha ya mabao

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOONYESHA LEO KWAMBA IKO TAYARI KUBEBA MWALI LIGI KUU BARA MSIMU MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top