• HABARI MPYA

    Wednesday, August 14, 2013

    RAIS KIKWETE AKABIDHIWA JEZI ILE ILE AMBAYO BARCELONA ANAVAA LIONEL MESSI, NI ZAWADI KUTOKA CAMP NOU

    IMEWEKWA AGOSTI 14, 2013 SAA 10:28 JIONI
    Zawadi kutoka Camp Nou; Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Kushilla Thomas akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete jezi iliyosainiwa na wachezaji wote wa timu ya FC Barcelona Ikulu jijini Dar es salaam jana ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuendeleza soka na ikiwa ishara ya kutambua ushirikiano wa kihistoria kati ya Castle Lager na FC Barcelona uliosainiwa hivi karibuni huko Camp Nou Hispania. Wanaotazama ni Meneja Mauzo wa TBL Kanda ya Kusini James Bokella (wa kwanza kulia) na Meneja Masoko wa TBL Bi. Natalia Celani (wa pili kulia). Na kushoto ni Meneja wa Castle Lager, Kabula Nshimo na Aggrey Marealle, Mkurugenzi wa Executive Solutions washauri wa mahusiano wa TBL. (Picha ya Ikulu)
    Jezi ya Messi

    Nimeipokea; Rais JK akiwa na uzi wa Barca, namba ambayo anavaa mwanasoka bora duniani, Muargentina, Lionel Messi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: RAIS KIKWETE AKABIDHIWA JEZI ILE ILE AMBAYO BARCELONA ANAVAA LIONEL MESSI, NI ZAWADI KUTOKA CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top