• HABARI MPYA

  Wednesday, November 07, 2012

  KLABU YA KIHISTORIA TANZANIA, UNAIKUMBUKA?

  Hiki ni kikosi cha Mseto FC ya Morogoro mwaka 1990, wakati huo inashiriki Ligi Daraja la Pili, ambayo sasa ni Daraja la Kwanza. Mseto imewahi kuwa bingwa wa Tanzania mwaka 1975. Sasa hivi timu hii haipo kabisa katika ramani ya soka nchini. Timu nyingine maarufu mkoani Morogoro kama Tumbaku na Reli, ambazo pia ziliibua vipaji vya nyota wengine wengi nchini enzi hizo, nazo pia zimepotea katika ramani ya soka. Kweli majanga!  

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: KLABU YA KIHISTORIA TANZANIA, UNAIKUMBUKA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top