KAMANDA POLISI TANGA ATHIBITISHA KIFO CHA SHARO MILIONEA
Msanii maarufu wa Luninga, Sharo Milionea (pichani), amefariki
dunia leo katiak ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Lusanga, Muheza, mkoani
Tanga. Kamanda wa Polisi Tanga, Constantine Massawe, amethibitisha kutokea kifo
cha msanii huyo aliyekuwa anaimba muziki wa kizazi kipya pia. Habari zaidi
zitafuatia.