• HABARI MPYA

  Sunday, May 27, 2012

  EAST AFRICAN FASHION EXTRAVAGANZA ILIVYOBAMBA KAMPALA JANA

  Wanamitindo mbalimbali katika picha tofauti wakifanya vitu vyao jukwaani katika Afrikalos katika onyesho la mwanamtindo nyota barani, Mustafa Hassanali la East African Fashion Extravaganza lililofanyika jana mjini Kampala, Uganda.  Balozi wa Tanzanian nchini Uganda, Ladislau Komba katika onyesho hilo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EAST AFRICAN FASHION EXTRAVAGANZA ILIVYOBAMBA KAMPALA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top