• HABARI MPYA

  Monday, March 02, 2020

  REAL MADRID YAICHAKAZA BARCELONA 2-0 NA KUREJEA KILELENI LA LIGA

  Vinicius Junior akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 71 kabla ya Mariano Diaz kufunga la pili dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Barcelona usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu Jijini Madrid kwenye mchezo wa La Liga. Kwa ushindi huo, Real Madrid inarejea kileleni La Liga sasa ikiizidi pointi moja Bacelona (56-55) baada ya wote kucheza mechi 26  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAICHAKAZA BARCELONA 2-0 NA KUREJEA KILELENI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top