Bruno Fernandes (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kusawazisha dakika ya 31 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Everton waliotangulia kwa bao la Dominic Calvert-Lewin dakika ya tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Goodison Park PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sunday, March 01, 2020
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment