• HABARI MPYA

    Monday, July 08, 2019

    BRAZIL WATWAA COPA AMERICA BAADA YA KUIPIGA PERU 3-1

    Wachezaji wa Brazil wakifurahia na taji lao la Copa America baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Peru kwenye fainali usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Jornalista Mario Filho, au  Maracana mjini Rio de Janeiro.
    Mabao ya Brazil yalifungwa na Everton dakika ya 15, Gabriel Jesus dakika ya 45 na ushei kabla ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 70 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano na Richarlison kwa penalti dakika ya 90, wakati la Peru lilifungwa na Paolo Guerrero kwa penalti pia dakika ya 44, hilo likiwa taji lao la kwanza tangu mwaka 2007 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BRAZIL WATWAA COPA AMERICA BAADA YA KUIPIGA PERU 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top