Mshambuliaji wa Ujerumani, Thomas Muller akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani katika ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, Scotland Uwanja wa Hampden Park usiku huu mechi ya kufuzu Euro 2016. Mabao ya Ujerumani yalifungwa na Thomas Muller mawili na Ilkay Gundogen moja, wakati ya Scotland yalifungwa na Mats Hummels aliyejifunga na James McArthur. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
US, Iran set for peace talks but doubts emerge over Lebanon, sanctions
-
ISLAMABAD, April 11 (Reuters) - The U. and Iran were to hold negotiations
in the Pakistani capital Islamabad on Saturday seeking to end their
six-week-old ...
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment