Nahodha wa England, Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia bao timu yake kwa penalti dakika ya 84 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Uswisi, bao lingine likifungwa na Harry Kane dakika ya 67. Rooney sasa ndiye mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi Three Lions (50 katika mechi 107) akivunja rekodi ya Sir Bobby Charlton iliyodumu tangu mwaka 1968. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
I Am Maximus wins Grand National for trainer Mullins
-
I Am Maximus wins the Grand National for the second time for trainer Wille
Mullins at Aintree.
41 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment