• HABARI MPYA

    Saturday, September 05, 2015

    'MANENO KUNTU", UJUMBE MWAFAKA KATIKA WAKATI MWAFAKA!

    Shabiki wa timu ya taifa ya Tanzania akiwa amevalia vazi lenye ujumbe; "Umoja ni Ushindi Tanzania" kuwahamasisha wananchi wenzake kuiunga mkono timu ya taifa, Taifa Stars wakati wa mchezo wa Kundi G kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 dhidi ya Nigeria jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Timu hizo zilitoka 0-0

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 'MANENO KUNTU", UJUMBE MWAFAKA KATIKA WAKATI MWAFAKA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top