HIVI NDIVYO MBIO ZA AFCON 2017 ZINAVYOENDELEA BAADA YA MECHI ZA WIKIENDI
RAUNDI ya pili ya mechi za makundi kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Gabon mwaka 2017 ilihitimishwa mwishoni mwa wiki barani.
Baada ya mechi hizo za pili, BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE inakuletea msimamo ya makundi yote kuelekea Gabon 2017.
Kocha wa Nigeria, Sunday Oliseh alipata sare ya 0-0 ugenini na Tanzania
0 comments:
Post a Comment