• HABARI MPYA

    Sunday, September 06, 2015

    HISPANIA YACHANJA MBUGA MBIO ZA EURO 2016, YAICHAPA 2-0 SLOVAKIA

    Nyota wa Hispania, Pedro Rodriguez (kulia) akimtoka mchezaji wa Slovakia, Lukas Tesak katika mchezo wa Kundi C kufuzu Euro 2016 mjini Oviedo. Hispania imeshinda 2-0 mabao ya Jordi Alba na Andres Iniesta kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HISPANIA YACHANJA MBUGA MBIO ZA EURO 2016, YAICHAPA 2-0 SLOVAKIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top