• HABARI MPYA

    Tuesday, July 14, 2015

    ORIGI, SAKHO WOTE WAFUNGA LIVERPOOL IKIUA 4-0 THAILAND


    Mamadou Sakho akienda hewani kuifungia Liverpool bao la pili katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji Thai All Stars nchini Thailand leo. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Lazar Markovic, Adam Lallana na Divock Origi. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ORIGI, SAKHO WOTE WAFUNGA LIVERPOOL IKIUA 4-0 THAILAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top