Eden Hazard wa Chelsea akimiliki mpira mbele ya beki wa New York Red Bulls, Shawn McLaws katika mchezo kirafiki alfajiri ya leo mjini New York, Marekani. Red Bulls, timu ya mwisho Thierry Henry kuchezea ilishinda 4-2, mabao yao yakifungwa na Castellanos dakika ya 51, Adams dakika ya 67, Davis dakika ya 73 na 78, wakati ya Chelsea yalifungwa na Remy dakika ya 26 na Hazard dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Saved by 'special talent' - but did penalty award wrong Brighton?
-
Charalampos Kostoulas earned Brighton a point with a stunning overhead kick
but were the Seagulls right to be angry over an earlier penalty award?
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment