| Mshambuliaji mpya wa Azam FC, Ame Ali 'Zungu' amefunga bao pekee timu yake hiyo mpya ikishinda 1-0 dhidi ya wenyeji Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani, Tanga katika mchezo wa kiraafiki. Hilo linakuwa bao la kwanza la Ame baada ya kujiunga ya Azam FC mwezi uliopita akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro. Aidha, kwa Azam FC, huo ni mchezo wa pili mfululizo kushinda katika ziara yake ya Tanga, baada ya jana piaa kushinda 1-0 dhidi ya African Sports. |
0 comments:
Post a Comment