• HABARI MPYA

    Monday, July 07, 2014

    ASHLEY COLE NDANI YA ROME KUKAMILISHA MIPAGO YA OFISI MPYA

    BEKI Ashley Cole amewasili mjini Rome kwa ajili ya mango wa kujiunga na vigogo wa Serie A, Roma. 
    Beki huyo wa zamani wa Chelsea anatarajiwa kusaini Mkataba wa miaka miwili na klabu hiyo ya Italia kama mchezaji huru.
    Cole alilakiwa na mashabiki Uwanja wa Ndege na akaunti rasmi ya Twitter ya klabu hiyo ikaposti picha ya Cole akiwa Uwanja wa Ndege wa Rome na kuandika, "Karibu Rome, Ashley!'.
    Amewasili: Ashley Cole baada ya kutua mjini Rome 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ASHLEY COLE NDANI YA ROME KUKAMILISHA MIPAGO YA OFISI MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top