• HABARI MPYA

    Sunday, July 06, 2014

    ARJEN ROBBEN 'ALIVYOKAZIWA' NA REFA JANA, HADI RAHA...


    Bingwa wa kujirusha: Arjen Robben akienda chini baada ya kukabiliana na mchezaji wa Coasta Rica, Cristian Gamboa katika Robo Fainali ya Kombe la Dunia usikua wa kuamkia leo nchini Brazil. Uholanzi ilifuzu kwa ushindi wa penalti 4-3 baada ya are sya 0-0.
    Grounded: Robben falls to the floor as Junior Diaz and Michael Umana stop the Dutchman in his tracks
    Robben akianguka chini baada ua kudhibitiwa na Junior Diaz na Michael Umana 
    Referee! Robben appeals for a free-kick during the first half of Holland's match with Costa Rica
    Robben akilalamika kwa refa kwamba amechezewa rafu
    Come on, ref: Ravshan Irmatov from Uzbekistan shares a laugh with Robben after the half-time whistle
    Refa Ravshan Irmatov wa Uzbekistan akitaniana na Robben
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARJEN ROBBEN 'ALIVYOKAZIWA' NA REFA JANA, HADI RAHA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top