![]() |
| Beki wa Sudan Kusini, Lubari Zariba akiupitia mpira miguuni mwa beki wa Ethiopia, Manaye Fantu katika mchezo wa Kundi A CECAFA Challenge leo. Ethiopia ilishinda 2-0. |
![]() |
| Kipa huyu wa Sudan Kusini, Juma Jinairo anafanya vizuri CECAFA Challenge japokuwa timu yake imefungwa mechi zote |
![]() |
| Shimekit Gogsa wa Ethiopia akimiliki mpira mbele ya beki wa Sudan Kusini |












.png)
0 comments:
Post a Comment