![]() |
| Stars leo inacheza mechi ya pili ya Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge dhidi ya Somalia Uwanja wa Nyayo, Nairobi mchana. |
![]() |
| Himid Mao ataanza beki ya kulia leo |
![]() |
| Katika mechi ya kwanza alicheza kulia pia Stars ikitoka sare ya 1-1 na Zambia Uwanja wa Kenyatta, Machakos |
![]() |
| Stars inahitimisha mechi zake za Kundi A Jumatano kwa kumenyana na Burundi |







.png)
0 comments:
Post a Comment