• HABARI MPYA

    Monday, December 02, 2013

    BECKHAM ALIVYOWAFUNIKA BUTT, GIGGS, SCHOLES NA AKINA NEVILLE KATIKA UZINDUZI WA THE CLASS OF '92 JANA LONDON

    NAHODHA wa zamani wa England, David Beckham jana aliwafunika wenzake watano katika pati la uzinduzi wa filamu maalum iitwayo The Class of '92 inayohusu wachezaji sita wa zamani wa manchester Unitred.
    Filamu hiyo ya Kiingereza inawahusu magwiji wa Manchester United: Beckham, Nicky Butt, Ryan Giggs, Gary Neville, Phil Neville na Paul Scholes.
    Mke wa nyota huyo wa zamani wa Real Madrid ya Hispania, Victoria na watoto wake watatu wa kiume, Brooklyn, Cruz na Romeo waliungana nao na baba yao katika zulia jekundu mjini London.
    The Class of 92: Kutoka kushoto Paul Scholes, Phil Neville, Ryan Giggs, Nicky Butt, David Beckham na Gary Neville wakiwa katika uzinduzi wa filamu hiyo ukumbi wa Leicester Square, London
    Family man: Beckham poses with his sons Brooklyn (back centre), Romeo (left), Cruz (right) and wife Victoria on the red carpet
    Mtu wa familia: Beckham akiwa na vidume vyake, Brooklyn (nyuma katikati), Romeo (kushoto), Cruz (kulia) na mkewe Victoria katika zulia jekundu
    In demand: Beckham signs autographs for fans ahead of the premiere
    Beckham akisaini autographs za mashabiki
    Ginger genius: Scholes (right) and his family arrive to see the movie
    Scholes (kulia) na familia yake 
    Man of the moment: Giggs poses for the cameras just two days after celebrating his 40th birthday
    Giggs akipozi kwa ajili ya picha, siku mbili tangu asherehekee kutimiza miaka 40 ya kuzaliwa
    Together again: The Class of '92 tells the story of Beckham, Butt, Scholes, Giggs and the Neville brothers at Manchester United
    Pamoja tena: The Class of '92 inaelezea historia ya Beckham, Butt, Scholes, Giggs na akina Neville ndani ya Manchester United
    Back on the scene: Former United midfielder Butt and his young family arrive in plenty of time
    Kiungo wa zamani wa United, Butt na familia yake
    Big fan: One Direction singer Harry Styles (right) poses with Beckham before heading into Odeon West End
    Mwimbaji Harry Styles (kulia) akiwa na Beckham 
    All smiles: Phil Neville, wife Julie and children Harvey and Isabella look happy to be in attendance
    Phil Neville, mkewe Julie na watoto wao, Harvey na Isabella
    Interested viewer: Former Arsenal captain Tony Adams and partner Poppy Teacher make their way into the cinema
    Nahodha wa zamani wa Arsenal, Tony Adams na mpenzi wake Poppy Teacher walikuwepo pia
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BECKHAM ALIVYOWAFUNIKA BUTT, GIGGS, SCHOLES NA AKINA NEVILLE KATIKA UZINDUZI WA THE CLASS OF '92 JANA LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top