• HABARI MPYA

    Saturday, September 28, 2013

    RONALDO ANAVYOTESWA NA MESSI...NA WAFAHAMU PIA WAFUNGAJI BORA WA KIHISTORIA WA KLABU TANO KUBWA DUNIANI

    IMEWEKWA SEPTEMBA 28, 2013 SAA 3:43 ASUBUHI
    MSHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo amepanda nafasi ya tano katika orodha ya wafungaji bora wa kihistoria wa Real Madrid wiki hii – lakini bado ana safari ndefu ya kufanya makubwa katika mchezo huo.
    Inauma kuona anaachwa mbali kiasi gani nyota babu kubwa duniani, Lionel Messi - kwani mwanasoka huyo mwenye umri wa miaka 26- tayari anaongoza katika orodha ya Barcelona. 
    Lakini anaweza kujivunia kitu kimoja kikubwa, kuwa mchezaji aliyefunga wastani wa zaidi ya bao moja kwa kila mechi wakati wake Real.
    Real deal: Cristiano Ronaldo is the only player in Real Madrid's top five to have scored at more than one a game
    Mkali: Cristiano Ronaldo ni mchezaji pekee katika tano bora ya wafungaji wa kihistoria wa Real Madrid aliyefunga zaidi ya bao moja kwa kila mechi
    ronaldo thumb
    Real deal: Cristiano Ronaldo is the only player in Real Madrid's top five to have scored at more than one a game
    Sportsmail imetoa orodha ya tano bora ya wafungaji wa kihistoria wa klabu kubwa Ulaya.
    Ajabu, gwiji wa AC Milan, Andriy Shevchenko anapigwa bao kileleni katika orodha ya wafungaji wa kihistoria na Msweden, Gunnar Nordahl, ambaye amefunga karibu mabao 100 zaidi yake. 
    Kenny Dalglish mwenye mabao 172 na Michael Owen mabao 158) wametupwa nje ya tano bora ya wafungaji wa kihistoria wa Liverpool na Robbie Fowler. 
    Na inaonekana kwamba Wayne Rooney hataweza kumpiku Sir Bobby Charlton mwenye mabao 249 United  akimzidi mabao 48.

    REAL MADRID
    Benchmark: Ronaldo must score 113 more times to catch Spanish striker Raul's tally
    Kileleni: Ronaldo lazima afunge mabao 113 zaidi kumkamata mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania, Raul
    Raul (Hispania), 1994-2010: Mabao 323 mechi 741 (0.44) Alfredo Di Stefano(Hispania), 1953-1964: Mabao 305 mechi 392 (0.78)
    Carlos Santillana(Hispania), 1971-1988: Mabao 289 mechi 645 (0.45)
    Ferenc Puskas (Hungary), 1958-1966: Mabao 242 mechi 262 (0.92)
    Cristiano Ronaldo (Ureno), 2009-hadi sasa: Mabao 210 mechi 206 (1.02) 
    VIDEO: Mabao 10 bora ya Raul Real Ligi ya Mabingwa
     BARCELONA 
    Shadowmaker: If not for Barcelona's Lionel Messi, Ronaldo would streak ahead of current players
    Mkali wa wakali: Kama si nyota wa Barcelona, Lionel Messi, Ronaldo angekuwa juu ya wachezaji wote wa sasa

    Lionel Messi (Argentina), 2004-present: 323 in 373 (0.87 goals per game) Cesar Rodriguez Alvarez (Hispania), 1942-1955: Mabao 294 mechi 433 (0.68 kwa mechi)
    Laszlo Kubala (Hungary), 1950-1961: Mabao 194 meci 256 (0.76 kwa mechi)
    Josep Samitier (Hispania), 1919-1932: Mabao 178, idadi ya mechi haijulikani
    Josep Escola (Hispania), 1934-1949: Mabao 163 mechi 235 (0.69 kwa mechi) 
    VIDEO: Mabao tano bora ya Messi kwa Barcelona na Argentina
    JUVENTUS
    Mercurial: Juventus's top scorer Alessandro Del Piero is still carving up defences (in Australia) at age 38
    Mtu hatari: Mfungaji bora wa kihistoria wa Juventus, Alessandro Del Piero bado anawatesa mabeki nchni Australia akiwa na umri wa miaka 38
    Alessandro Del Piero (Italia), 1993-2012: Mabao 290 mechi 705 (0.41) 
    Giampiero Boniperti (Italia), 1946-1961: Mabao 182 mechi 444 (0.41)
    Roberto Bettega (Italia), 1970-1983: Mabao 178 mechi 326 (0.54)
    David Trezeguet (Ufaransa), 2000-2010: Mabao 171 mechi 318 (0.54)
    Omar Sivori (Argentina), 1957-1965: Mabao 167 mechi 254 (0.65) 
    VIDEO: Mabao bora 10 ya Alessandro Del Piero

    AC MILAN 
    Prolific: AC Milan's Swedish striker Gunnar Nordahl (right) won two Scudetto's with the Italian giants
    Kinara: Mfungaji bora wa kihistoria wa AC Milan, Gunnar Nordahl (kulia) ameshinda mataji mawili ya Scudetto na vigogo wa Italia
    Gunnar Nordahl (Sweden), 1949-1956: Mabao 221 mechi 268 (0.82) 
    Andriy Shevchenko (Ukraine), 1999-2006 & 2008-2009: Mabao 175 mechi 322 (0.54)
    Gianni Rivera (Italia), 1960-1979: Mabao 164 mechi 658 (0.25)
    Jose Altafini (Brazil), 1958-1965: Mabao 161 mechi 246 (0.65)
    Aldo Boffi (Italia), 1936-1945: Mabao 131 mechi 187 (0.7) 
    VIDEO: Mkali wa mabao Sweden, Gunnar Nordahl kazini

    LIVERPOOL
    Famous finger: Liverpool and Wales goal machine Ian Rush gives his trademark post-goal salute
    Kidole maarufu: Mtambo wa mabao wa Liverpool na Wales, Ian Rush aaongoza kwa mabao Liverpool
    Ian Rush (Wales), 1980-1987 & 1988-1996: Mabao 346 mechi 660 (0.52) 
    Roger Hunt (England), 1958-1969: Mabao 286 mechi 492 (0.59)
    Gordon Hodgson (England), 1925-1936: Mabao 241 mechi 377 (0.63)
    Billy Liddell (Scotland), 1938-1961: Mabao 228 mechi 534 (0.43)
    Robbie Fowler (England), 1993-2001 & 2006-2007: Mabao 183 mechi 369 (0.5) 
    VIDEO: Mabao matano bora ya Ian Rush

    MANCHESTER UNITED 
    Legend: Sir Bobby Charlton was a master goal poacher and lethal with his free-kicks
    Gwiji: Sir Bobby Charlton alikuwa alikuwa mfungaji hodari na mkali wa kupiga mipira ya adhabu
    Sir Bobby Charlton (England), 1956-1973: Mabao 249 mechi 758 (0.33) 
    Denis Law (Scotland), 1962-1973: Mabao 237 mechi 404 (0.59)
    Jack Rowley (England), 1937-1955: Mabao 211 mechi 424 (0.5)
    Wayne Rooney (England), 2004- hadi sasa: Mabao 201 mechi 408 (0.49)
    George Best (Ireland Kaskazini), 1963-1974: Mabao 179 mechi 470 (0.38) 
    VIDEO: Bobby Charlton lifunga kutoka kila sehemu United

    MANCHESTER CITY 
    Immense: Manchester City's top goal-scorer Eric Brook was known for his strength and thunderous shot
    Mtu wa nguvu: Mfungaji bora wa kihistoria wa Manchester City, Eric Brook alikuwa anafahamika kwa nguvu zake na upigaji mashuti makali
    Eric Brook (England), 1928-1939: Mabao 178 mechi 499 (0.36) 
    Tommy Johnson (England), 1920-1930: Mabao 166 mechi 328 (0.5)
    Colin Bell (England), 1966-1979: Mabao 153 mechi 492 (0.31)
    Joe Hayes (England), 1953-1965: Mabao 152 mechi 363 (0.42)
    Billy Meredith (Wales), 1894-1906 & 1921-1924: Mabao 152 mechi 394 (0.39)
    CHELSEA
    Greatness: Frank Lampard lets it sink in after he became Chelsea's greatest ever goal scorer
    'Mukubwa': Frank Lampard ndiye mfalme wa mabao wa kihistoria Chelsea
    Frank Lampard (England), 2001- hadi sasa: Mabao 204 mechi 615 (0.33) 
    Bobby Tambling (England), 1959-1970: Mabao 202 mechi 370 (0.55)
    Kerry Dixon (England), 1983-1992: Mabao 193 mechi 420 (0.45)
    Didier Drogba (Ivory Coast), 2004-2012: Mabao 157 mechi 341 (0.46)
    Roy Bentley (England), 1948-1956: Mabao 150 mechi 367 (0.41) 
    VIDEO: Mabao ya 202 na 203 yaliyompaisha kileleni Lampard Chelsea


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: RONALDO ANAVYOTESWA NA MESSI...NA WAFAHAMU PIA WAFUNGAJI BORA WA KIHISTORIA WA KLABU TANO KUBWA DUNIANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top