![]() |
| Mwonekano wa ndani, unaweza kujionea TV kubwa na siti maridadi |
![]() |
| Mabasi ya kutosha katika yadi kwa safari za Nyanda za Juu Kusini |
![]() |
| Siti zake zina nafasi ya kutosha, unaweza kunyoosha miguu vizuri bila kuumia na kufika safari yako bila uchovu |
![]() |
| Mashabiki wa Simba, Yanga, Ashanti na Azam wakitaka kwenda kuzisapoti timu zao zitakapocheza na Mbeya City na Prisons, huu ni usafiri mwafaka |








.png)