• HABARI MPYA

    Monday, August 12, 2013

    AZAM ILIVYOHITIMISHA ZIARA YAKE AFRIKA KUSINI LEO

    IMEWEKWA AGOSTI 12, 2013 SAA 9:34 JIONI
    Hatari langoni mwa Moroka; Kizaazaa langoni mwa Moroka Swallows kufuatia kona, katika mchezo wa leo wa kirafiki dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa  Volkswagen Dobsonville, Soweto, Afrika Kusini. Moroka ilishinda 1-0.


    Ibrahim Mwaipopo akimtoka mtu


    Khamis Mcha akipambana


    Kipre Tchetche akiibia


    Daktari wa Moroka, Sarah Allen Marcus akimtibu mchezaji wake baada ya kugongwa na Jabir Aziz


    Jabir Aziz akipasua katikati ya wachezaji wa Moroka


    Himid Mao akipigana 


    Himid Mao...


    Jabir Aziz anapunguza mtu kazi


    Khamis Mcha akimtoka mtu


    Khamis Mcha


    Kikosi cha Azam FC leo


    Kikosi cha Moroka


    Kipa Aishi Manula alifanya kazi nzuri leo


    Gaudence Mwaikimba akiwania mpira wa juu


    Siyabonga Nomvette akimuacha chini Joackins Atudo


    John Bcco 'Adebayor'...


    Kipre Tchetche akipigana


    Mudathir Yahya


    Joackins Atudo akimiliki mpira

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: AZAM ILIVYOHITIMISHA ZIARA YAKE AFRIKA KUSINI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top