![]() |
| Kocha Msaidizi wa Simba, Mganda Hamatre Richard (mwenye kofia) akiwapa mawaidha wachezaji wa timu hiyo kabla ya mazoezi kwenye Uwanja wa Kinesi, Urafiki, Dar es Salaam. |
![]() |
| Kocha Mkuu wa Simba, Mserbia Milovan Cirkovick akivuta sigara yake wakati Hamatre anazungumza na wachezaji |
![]() |
| Milovan akitafakari mambo |
![]() |
| Milovan akiwa katika dimbwi la mawazo |
![]() |
| Milovan akipoza koo kwa maji ya Uhai |
![]() |
| Milovan akipiga hesabu zake |
![]() |
| Hapa ameingia uwanjani anahesabu hatua kwa ajili ya kupanga koni |
![]() |
| Kocha wa makipa James Kisaka akiwa katika dimbwi la mawazo |
![]() |
| Hapa wachezaji wameanza mazoezi |
![]() |
| Kiggi Makassy kulia akifurahia na Paschal Ochieng kushoto |
![]() |
| Baadhi ya wachezaji wa Simba wakijiandaa kuingia uwanjani |
![]() |
| Kiggi Makassy akijiandaa kuingia uwanjani |














.png)