• HABARI MPYA

    Friday, August 24, 2012

    AZPILICUETA ATUA CHELSEA NA KUANZA KAZI MARA MOJA


    Cesar Azpilicueta ameanza mazoezi na Chelsea leo asubuhi baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka Marseille. 
    Beki huyo wa kulia wa kimataifa wa Hispania, mwenye umri wa miaka 22, anatua Stamford Bridge kwa dau la pauni Milioni 7, akisaini mkataba wa miaka mitano na mabingwa hao wa Ulaya.
    Getting shirty: Cesar Azpilicueta is finally presented as a Chelsea player at the club's Cobham training ground
    Cesar Azpilicueta baada ya kukabidhiwa jezi ya Chelsea
    Feeling Blue: Cesar Azpilicueta has completed his move to Chelsea and trained with his new team-mates
    Cesar Azpilicueta akiwa mazoezini na wachezaji wenzake wa timu yake mpya leo 


    Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2192964/Cesar-Azpilicueta-Chelsea-complete.html#ixzz24TqMVMNo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZPILICUETA ATUA CHELSEA NA KUANZA KAZI MARA MOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top