• HABARI MPYA

  Friday, March 27, 2009

  ULAMAA, MWANAZUONI ALIYEKOMAA UKIPENDA MWITE TRAVELLER...

  Mwanamuziki wa Hip hop, Msafiri Kondo maarufu kwa majina kama Ulamaa, mwanazuoni aliyekomaa, ambaye kwa sasa anatamba na wimbo mpya, Traveller. Jamaa anataka kutoka albamu kutoka Ireland anakoishi na mkewe Yasmin Lal.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ULAMAA, MWANAZUONI ALIYEKOMAA UKIPENDA MWITE TRAVELLER... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top