YANGA SC YAACHANA NA KOCHA MRUNDI CERDIC KAZE, KUTANGAZA MWALIMU MWINGINE MPYA
YANGA SC imeamua kuachana na kocha Cerdic Kaze baada ya Mrundi huyo kutuma taarifa ya kupata udhuru na kuomba asogezewe muda wa kuja kuanza kazi nchini na sasa itamtangaza mwalimu mwingine mpya.
0 comments:
Post a Comment