• HABARI MPYA

  Monday, August 31, 2020

  LUIS MIQUISSONE APIGA HAT TRICK SIMBA SC YAITANDIKA ARUSHA FC 6-0 MECHI YA KIRAFIK SHEIKH AMRI ABED

  Kiungo wa Simba SC, Luis Miquissone raia wa Msumbiji (kulia) akishangilia bada ya kuifungia timu yake hiyo mabao matatu dakika za 64, 76 na 88 katika ushindi wa 6-0 dhido ya Arusha FC kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Aruaha. Mabao mengine ya Simba yamefungwa na mshambuliaij Meddie Kagere mawili dakika ya tano na 34 na Mzambia, Larry Bwalya dakika ya 24                  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUIS MIQUISSONE APIGA HAT TRICK SIMBA SC YAITANDIKA ARUSHA FC 6-0 MECHI YA KIRAFIK SHEIKH AMRI ABED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top