MKURUGENZI MKUU SSB, ABUBAKAR BAKHRESA AWAITA FARAGHA WACHEZAJI, MAKOCHA NA VIONGOZI AZAM FC
Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Bakhresa Group (SSB), Abubakar Bakhresa, sambamba na viongozi wa Azam FC, wakiwa pamoja na wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo.
Kikao hicho ni katika kujadili mikakati ya pamoja, ili kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri msimu ujao.
0 comments:
Post a Comment