• HABARI MPYA

  Thursday, August 27, 2020

  MBEYA CITY ILIPOICHAPA IHEFU FC 2-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI JANA UWANJA WA SOKOINE KUJIANDAA NA LIGI KUU

  TIMU ya Mbeya City jana imecheza mechi ya kirafiki na jirani zao, Ihefu FC ya Mbarali na kuibuka na ushindi wa 2-0, mabao ya Rashid Nchalenga dakika ya 22 na Edgar Mbembela dakika ya 72 Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBEYA CITY ILIPOICHAPA IHEFU FC 2-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI JANA UWANJA WA SOKOINE KUJIANDAA NA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top